Gavana wa Trans Nzoia Goerge Natembea akamatwa

  • | Citizen TV
    4,056 views

    Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya anazuiliwa katika afisi za makao makuu ya EACC hapa jijini Nairobi. Natembeya anatuhumiwa kwa ufisadi. Kwa mujibu wa wakili wake Ndegwa Njiru, Natembeya amekamatwa ila mawakili wake hawajapewa nafasi ya kuzungumza naye.