Hatma ya kesi ya Lissu bado kitendawili, Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    33,807 views
    Kwa mara ya kwanza mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) nchini Tanzania, Tundu Lissu amefikishwa mahakamani ambapo mamia ya wanachama na wanaharakati wamehudhuria kesi hiyo. Lissu amekana mashtaka yanayomkabili ya uhaini pamoja na kuchapisha taarifa za uongo kwenye mitandao ya kijamii, na kesi hiyo imepangwa kusikilizwa tena tarehe mbili mwezi juni mwaka huu.