Wavuvi Lamu wameitaka serikali kuwalipa pesa zao

  • | Citizen TV
    364 views

    Wavuvi katika eneo la Lamu wameitaka serikali kupitia Halmashauri ya Bandari (KPA) kuwalipa asilimia 35 ya fedha zilizobaki badala ununuzi wa vifaa vya uvuvi, ikiwemo maboti.