Waliodukua mitandao Tanzania wasakwa ,Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    12,069 views
    Jeshi la Polisi Tanzania limekanusha kuhusika na taarifa zilizosambazwa kupitia mtandao wa X, zikidaiwa kuwa zimetoka katika akaunti yao mapema hii leo. Jeshi hilo limesema kwamba taarifa zilizochapishwa ni za uongo, zimekosa maadili, na zinalenga kupotosha umma. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw