Serikali ya Tanzania yashinikizwa kuwaachilia wanaharakati,Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    80,309 views
    Wanaharakati nchini Kenya wamesema kwamba wataungana na mke wa mwanaharakati mwenzao Boniface Mwangi usiku wa leo kukita kambi nje ya Ubalozi wa Tanzania jijini Nairobi hadi pale watakapopata taarifa kamili kuhusu alipo Mwangi, pamoja na mwanaharakati wa Uganda Agather Atuhaire. Wawili hao walizuiliwa nchini Tanzania mapema wiki hii walipokwenda kuhudhuria kesi ya kiongozi wa CHADEMA Tundu Lissu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw