Hatimaye mwanaharakati wa Kenya aachiwa huru na serikali ya Tanzania, Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    39,857 views
    Mwanaharakati wa Kenya Boniface Mwangi aliyekamatwa na mamlaka za Tanzania na kuzuiliwa bila mawasiliano kwa siku tatu ameachiliwa huru na kurejeshwa Kenya. Boniface alisafirishwa kwa njia ya barabara hadi Pwani ya Kenya, ambapo amepokelewa na wanaharakati wenzake pamoja na familia yake. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw