BBC News Swahili

  • | BBC Swahili
    4,371 views
    Je kiongozi wa zamani wa Libya hayati kanali Maummar Gaddafi alikuwa ni shujaa wa Afrika au kiongozi wa mabavu? Sammy Awami anakudadavulia kiongozi huyu ambaye aliongoza Libya kwa muda mrefu. #bbcswahili #maummargaddafi #libya Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw