Polisi huko kisauni kaunti ya Mombasa wamewakamata washukiwa wanane wa genge la majambazi

  • | Citizen TV
    344 views

    Polisi huko kisauni kaunti ya Mombasa wamewakamata washukiwa wanane wa genge linaloaminika kuwahangaisha wakazi wa eneo hilo kwa kuwaibia na kuwakata na mapanga.