Wakulima wameanza kilimo cha Mpunga Butula

  • | Citizen TV
    152 views

    Licha ya mpunga kuchukuliwa kuwa mmea unaopandwa katika maeneo ya nyanda za chini yaliyo na maji mengi, wakulima katika eneo bunge la Butula kaunti ya Busia wameanza kukumbatia kilimo hicho. Ni kilimo ambacho kimeanza kupata umaarufu kwa kasi miongoni mwa wakulima, utafiti ukibaini kuwa mpunga huo unanawiri vyema ukilinganishwa na ukulima wa mahindi katika eneo hilo