Maadhimisho yanaendelea katika kaunti ya Machakos

  • | Citizen TV
    84 views

    Vijana katika kaunti ya Machakos wanaungana na wenzao kusherehekea siku ya vijana ulimwenguni. Vijana hao tayari wanashiriki katika maonyesho ya kibiashara, kuandaa vikao vya kujadili changamoto zinazowakumba na kushiriki katika michezo mbalimbali