Serikali yashirikisha waajri kwenye elimu ya ufundi

  • | Citizen TV
    88 views

    Kama njia moja ya kupunguza idadi ya vijana wanaokosa ajira baada ya kukamiliisha masomo, serikali imeanzisha mchakato wa kuwahusisha waajiri kwenye elimu ya ufundi.