Skip to main content
Skip to main content

Familia ya mwalimu kutoka Kenya aliyeuawa wakati wa maandamano Tanzania yazungumza #maandamano

  • | BBC Swahili
    45,303 views
    Duration: 1:00
    “Mwalimu John Ogutu alipigwa risasi na kuuawa na mwili wake ukalala barabarani hadi kesho yake” - Ni huzuni kwa familia ya Mwalimu Mkenya aliyefunza Dar es Salaam kwa zaidi ya miaka 10 ambao wamepokea taarifa cha kifo cha mpendwa wao aliyekuwa akifunza shule moja ya kimataifa Kinondoni Dar Salaam Dar Salaam Sky Schools. - Familia imeomba serikali iwasaidie kutambua mwili wa mpendwa wao uliko kwani hawajui mwili wake ulipelekwa wapi. - - - #tanzania #maandamano #uchaguzi #kenyantiktok🇰🇪 #foryouSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw