Tshukudu,usafiri usiotegemea mafuta wala gesi

  • | BBC Swahili
    15,209 views
    Huko mjini Goma, mashariki mwa DRC, Tshukudu, chombo cha usafiri kinachotengenezwa kwa mbao kinaendelea kuwa na jukumu muhimu katika uchumi wa mji huo. Zaidi ya waendesha tshukudu 2,000 husafiri katika mitaa ya jiji hilo kila siku. Tshukudu inaashiria ustahimilivu, bidii na ubunifu wa wenyeji, kama suluhisho la kiuchumi. - - #bbcswahili #goma #DRC #uchumiSubscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw