Tundu Lissu alivyofikishwa mahakamani Dar es Salaam

  • | BBC Swahili
    11,200 views
    Mwenyekiti wa chama cha upinzani Tanzania CHADEMA, Tundu Lissu amefikishwa mahakama ya hakimu mkaazi Kisutu jijini Dar es Salaam chini ya ulinzi mkali. Lissu anakabiliwa na mashtaka mawili, Uhaini na Kuchapisha taarifa za uongo mitandaoni. Fuatilia habari zaidi kuhusu kesi hii kwenye ukurasa wetu wa #bbcswahili na pia kwenye matangazo ya #dirayadunia. #tundulissu #chadema #tanzania Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw