Gwajima: Askofu mwenye utata anayepaza sauti dhidi ya utekaji Tanzania

  • | BBC Swahili
    81,880 views
    Ana historia ya matukio na kauli zenye utata, lakini mara hii Josephat Gwajima amejitokeza kama mkosoaji wa matukio ya utekaji na watu kupotea, ambayo yamekuwepo Tanzania kwa kipindi cha muda sasa hata baadhi ya watu waliotekwa kuuawa. Je Josephat Gwajima ni nani haswa #bbcswahili #tanzania #siasa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw