Tembo mwenye njaaavamia duka kutafuta chakula Thailand

  • | BBC Swahili
    7,240 views
    Tazama Tembo huyu mwenye njaa alivyoingia ndani ya duka akitokea katika mbuga ya kitaifa iliyo karibu na eneo hilo nchini Thailand. Mfanyabiashara wa duka hilo alisema alisema Tembo huyo alichukua mikate mitamu ya mchele, sandwichi, na ndizi, na kusababisha uharibifu mdogo dukani. Tembo huyu pia anajulikana kwa kuingia kwenye nyumba mitaani akitafuta chakula, kwa mujibu wa walinzi wa eneo hilo. 🎥: Frank Mavura #bbcswahili #thailand #wanyama Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw