Eid Mubarak. Lakini sikukuu hii ina umuhimu gani? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    16,785 views
    Zaidi ya watu milioni 1.4 wako Saudi Arabia kwa ibada ya Hajj. Lakini je, unafahamu ibada hii ni nini na inatekelezwa vipi? Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw