Wazazi wahimizwa kutowafungia wanao wanaougua utindio wa ubongo 'Cerebral Palsy'

  • | KBC Video
    12 views

    Wazazi wenye watoto wanaoishi na ugonjwa wa utindio wa ubongo au Cerebral Palsy wametakiwa kutafuta matibabu ya mapema ili kuwasaidia katika ustawi wao. Wito huo ulitolewa wakati wa mbio za kuelimisha watu kuhusu ugonjwa huo katika uwanja wa Shule ya Msingi ya PCEA Thirime huko Kikuyu, Kaunti ya Kiambu.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive