Washikadau Kilifi watoa maoni kuhusu miradi ya serikali

  • | Citizen TV
    193 views

    Huku serikali ikiendeleza vikao vya umma kuhusu utekelezaji wa miradi ya serikali kuu, wananchi wamehimizwa kukumbatia miradi ili kuimarisha maendeleo humu nchini.