Wanaharakati watoa hamasa kwa wakazi Kitengela

  • | Citizen TV
    465 views

    Wanaharakati wa kupambana na dhuluma za Kijinzia kwa ushirikiano na afisi ya Seneta Maaluma Peris Tobiko wameenda warsha ya siku moja katika mji wa Kitengela kaunti ya Kajiado kuhamazisha jamii kuhusu namna ya kukabiliana na Dhuluma za Kijinzia.Kwenye Kikao hicho wananchi walieeza kuwa bado visa vya wanawake, watoto na wanaume kudhulumiwa vingalipo, wakisisitiza haja ya hamasa zaidi kutolewa ili kutokomeza visa hivyo.