Tamasha la kuwaenzi wakulima wa nyanya

  • | BBC Swahili
    1,935 views
    Tani 45 za nyanya zilitumika wakati wa tamasha la siku tatu la kupigana kwa kutumia nyanya katika mji wa Sutamarchan nchini Colombia. #bbcswahili #nyanya #kilimo #wakulima #tamasha #michezo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw