Maandamano Marekani kupinga sheria za uhamiaji za Trump, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    13,971 views
    Gavana wa jimbo la Carlifornia nchini Marekani Gavin Newsom amesema ataishtaki serikali ya Rais Donald Trump baada ya kutuma wanajeshi ili kutuliza vurugu kufuatia maandamano katika jiji la Los Angeles. Maandamano hayo yalianza siku ya Ijumaa baada ya Ikulu ya White House kutuma maafisa wa uhamiaji kuwakamata wahamiaji haramu. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw