Isaac Mwaura : Wakenya zaidi ya 393,000 wameenda huko majuu kufanya kazi

  • | KBC Video
    4 views

    SEMA NA SPOX

    Isaac Mwaura : Kuna kazi kwa ground, kazi mtandaoni na kazi majuu. Wakenya zaidi ya 393,000 wameenda majuu huko majuu kufanya kazi. Mambo ya affordable housing, tumejenga zaidi ya nyumba 150,000

    #SemaNaSpox