DKT. Mary Mugambi huwasaidia wajane jijini Nakuru

  • | Citizen TV
    234 views

    Mary anawapa sauti ya kujieleza na kutoa ushauri , nasaha . Juhudi zake zimewasaidia kuelewa nafasi yao katika jamii , Mary anawashirikisha kupitia miradi mbalimbali