Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini waangalizi wanasema uchaguzi wa Tanzania ulikuwa na dosari?

  • | BBC Swahili
    29,396 views
    Duration: 13:14
    Mashirika yaliyoshiriki katika shughuli ya uangalizi wa uchaguzi wa Tanzania yanasema uchaguzi haukuwa huru na wa haki. Hii leo, waangalizi kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki wamesema kuwa hawakuweza kupepeleza zoezi la kuhesabiwa kwa kura katika baadhi ya vituo vya upigaji kura. Aidha wamesema kuwa katika vituo vingi vya kupiga kura, hakukuwa na foleni ndefu za watu wakisubiri kupiga kura. #DiraYaDuniaTV