Familia moja yalilia haki kaunti ya Kirinyaga

  • | Citizen TV
    1,215 views

    Familia moja kaunti ya Kirinyaga inaitaka serikali kumchukulia hatua afisa wa polisi aliyemuua kijana wa miaka 28 Brian Maina kwa kumpiga risasi kichwani wakati wa maandamano ya Gen Z wiki jana. Familia ya Brian ikisema mwana wao hakuwa amejihami kwa silaha yoyote wakati wa maandamano hayo