Skip to main content
Skip to main content

Chama cha Kambusu chazindua kiwanda cha kutengeneza maziwa cha thamani ya shilingi milioni 10

  • | NTV Video
    87 views
    Duration: 1:20
    Chama cha Wakulima wa Maziwa cha Kambusu kimezindua rasmi kiwanda kipya cha kutengeneza maziwa cha thamani ya zaidi ya shilingi milioni 10, ikiwa ni hatua kubwa kwa chama hicho cha ushirika kilicho katika Kaunti Ndogo ya Matungulu, kaunti ya Machakos. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya