Skip to main content
Skip to main content

Watanzania waomboleza wapendwa wao waliouawa wakati wa maandamano, katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    108,251 views
    Duration: 28:10
    Tangu vurugu za maandamano kufuatia uchaguzi mkuu nchini Tanzania, majonzi na hofu vimeendelea kutawala katika baadhi ya familia. Baadhi ya familia zimeelezea kupoteza wapendwa wao katika mazingira ya sintofahamu. Wengine wamethibitisha kuuawa, lakini wengine hadi leo bado hawajui ndugu zao wako wapi, hai ama wamekufa licha ya kutafuta hospitali, mochwari na vituo vya polisi. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw