Serikali yahimizwa kuwasaidia wakulima kuboresha uzalishaji

  • | KBC Video
    32 views

    Shirikisho la kitaifa la wakulima hapa nchini limetoa wito kwa serikali kuwasaidia wakulima katika juhudi za kuboresha uzalishaji wa mazao yao, likielezea changamoto zinazosababishwa na athari za mabadiliko ya tabianchi na misukomisuko ya kibiashara nchini. Shirikisho hilo limehoji kwamba wakulima wa humu nchini wanahudumu katika mazingira magumu na yanayoshuhudia ushindani kwenye mfumo wa uongezaji thamani ya mazao ya kilimo ambapo wanakabiliwa na changamoto kama vile mabadilko ya tabianchi, matatizo ya wadudu na maradhi, kuyumba kwa soko la pembejeo na mahitaji ya wateja yanayozidi kubadilika.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive