Zaidi ya wakulima nusu milioni wa kahawa wakataa mageuzi yanayolenga vyama vyao

  • | NTV Video
    10 views

    Zaidi ya wakulima nusu milioni wa kahawa wamepinga vikali agizo jipya lililotolewa na Kamishna wa Maendeleo ya Ushirika, linalotaka vyama vya ushirika vyenye wanachama zaidi ya 500, kufanya marekebisho za sheria zao ili kupitisha mfumo wa uwakilishi wa wajumbe.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya