Viongozi wa kenya kwanza wameunga mkono msimamo wa Rais William Ruto kuwakabili wale wanaoharibu mal

  • | Citizen TV
    934 views

    Viongozi wa kenya kwanza wameunga mkono msimamo wa Rais William Ruto kuwakabili wale wanaoharibu mali ya wakenya kwa kisingizio cha maandamano nchini. Aidha, viongozi hao wakijumuisha Naibu Rais Kithure Kindiki pia wameunga pendekezo la kinara wa ODM Raila Odinga kuwepo kwa mazungumzo ya marika tofauti kama suluhu ya ati ati inayoshuhudiwa nchini