Katibu wa elimu aonya dhidi ya unyanyasaji

  • | Citizen TV
    46 views

    Katibu mkuu katika wizara ya elimu Julius Bitok, amelaani vikali visa vya unyanyasaji wa kimapenzi kati ya walimu na wanafunzi akisema hatua kali itachukuliwa dhidi ya wahusika. Bitok amesema haya kufuatia taarifa kumhusu mwalimu wa Alliance girls Peter Ayiro anayediwa kuwadhulumu wanafunzi katika shule hiyo