Mamlaka ya kudhibiti vileo na utumizi wa dawa za kulevya (NACADA) imependekeza kuongezwa kwa umri wa

  • | Citizen TV
    65 views

    Mamlaka ya kudhibiti vileo na utumizi wa dawa za kulevya (NACADA) imependekeza kuongezwa kwa umri wa kubugia mvinyo kutoka miaka 18 hadi 21. Kulingana na NACADA hatua hiyo inalenga kuchelewesha wakati wa vijana kutangamana na pombe, kupunguza matumizi na kuzuia uraibu kupita kiasi