Matabibu walalamikia kudorora kwa afya nairobi

  • | Citizen TV
    88 views

    Maafisa wa kliniki kaunti ya Nairobi wamemshutumu gavana Johnson Sakaja, kwa kile walichotaja kama hali duni ya huduma za afya jijini. Muungano wa maafisa hao kliniki umetangaza maandamano siku ya jumatano ili kusimama na maafisa zaidi ya mia tano ambao wamekuwa kwenye mgomo kwa takriban miezi mitatu, lakini gavana anaonekana kutojali