IEBC yapokea maombi kuwatimua wabunge wanne

  • | Citizen TV
    5,126 views

    Tume mpya ya uchaguzi na mipaka IEBC amethibitisha kupokea maombi ya kuwataka wabunge wanne waondolewe ofisini. Wananchi wanaowakilishwa na wa wabunge hao wamewasilisha malalamishi yao kwenye tume hiyo mpya wakitaka kuwarejesha nyumbani wawakilishi wao kw akushindwa kutekeleza majukumu waliyopewa. Tume hiyo sasa imeanza kukagua maombi hayo ili kubaini uzito kabla ya kutoa mwelekeo. Francis Mtalaki anaangazia suala hilo pamoja na mikakati ya usajili wa wapiga kura na maandalizi ya chaguzi ndogo 23 nchini.