Watu 108 kutoka Eritrea wanazuiliwa katika gereza la Lodwar

  • | TV 47
    39 views

    Watu 108 kutoka Eritrea wanazuiliwa katika gereza la Lodwar.

    Kati ya watu 108, 13 ni watoto chini ya umri wa miaka 15.

    Gavana wa Turkana ataka asasi za usalama kuchunguza wahusika.

    Biashara ya ulanguzi wa watu inaendelea kupitia mipaka ya Kenya.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __