Wandani wa Gachagua wavurugwa

  • | Citizen TV
    10,687 views

    Hali ya sintofahamu ilishuhudiwa mjini Subukia, baada ya maafisa wa usalama kuwazuilia wanachama na wafuasi wa chama cha DCP waliokuwa wakielekea kufanya mikutano ya hadhara katika maeneo mbalimbali jijini Nakuru.