Mashaka ya Bonface Mwangi

  • | Citizen TV
    6,518 views

    MWANAHARAKATI BONIFACE MWANGI ATAZUILIWA TENA LEO NA POLISI AKITARAJIWA KUFIKISHWA MAHAKAMANI JUMATATU KUJIBU MASHTAKA YA KUFANIKISHA UGAIDI. MAAFISA W AUPELELEZI WA JINAI WANASEMA KUWA MWANGI ALIPATIKANA NA RISASI NA VITOA MACHOZI WAKISEMA KUWA NI USHAHIDI KUWA ALIHUSIKA NA UGAIDI WAKATI WA MAANDAMANO YA JUNI 25. WANAHARAKATI WAMELAANI KUKMATWA KWAKE WAKISEMA MADAI YA POLISI HAYANAMSINGI WOWOTE