Rais: Wazazi wamefeli

  • | Citizen TV
    1,217 views

    RAIS WILLIAM RUTO AMEWALAUMU WAZAZI KWA UTOVU WA NIDHAMU WA VIJANA AKISEMA KUWA UTEPETEVU W AWAZAZI NDIO UMECHANGIA MAANDAMANO YA FUJO YANAYOENDELEZWA NCHINI.