Walemavu wa kuona wanakabiliwa na changamoto

  • | Citizen TV
    76 views

    Watoto wenye ulemavu wa kuona wanakabiliwa na changamoto nyingi zinazowazuia kuafikia usawa wa elimu kutokana na gharama ya mahitaji yao. Wito wa kuwekeza kwenye elimu ya wanafunzi hao ili luleta usawa nchini ulijitokeza kwenye tamasha ya muziki iliyoandaliwa na shule ya wanafunzi wenye mahitaji maalum ya Thika ambapo talanta na ukakamavu wa wanafunzi wasioona zilionyeshwa kwa lengo la kushinikiza sera za kuwajumuisha watoto hao