Wajane wa Kakamega waanza kupata haki ya kumiliki ardhi

  • | NTV Video
    32 views

    Ni afueni kwa wajane ambao wamekuwa wakinyimwa haki za kurithi na kumiliki ardhi huko Kakamega baada ya waume wao kufariki. Shirika moja la kutetea haki za wanawake kaunti hiyo lijukikanalo kama Shibuye community imezindua mbinu za kutatua na kuwaokoa wajane hao

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya