Bunge lalaumiwa kwa ongezeko la bei ya mafuta Kenya

  • | KBC Video
    157 views

    Wizara ya kawi imelaumu bunge kwa bei ya juu ya mafuta humu nchini, ikisema ushuru na ada za juu zimepandisha bei ya bidhaa hiyo. Waziri wa kawi Opiyo Wandayi sasa anatoa wito kwa bunge la kitaifa kukadiria upya baadhi ya ada zinazotozwa mafuta humu nchini, ili kusaidia kupunguza bei ya bidhaa hiyo. Ripota wetu Abdiaziz Hashim na mengi zaidi kutoka bunge.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive