Zaidi ya familia zalilia ardhi wanayodai kufurushwa, Murang'a

  • | Citizen TV
    36 views

    Zaidi ya familia 20 katika kijiji cha Gachagi, eneo la Makuyu, wameapa kuandamana kila wiki wakilalamikia kutotimizwa kwa ahadi ya kupewa makazi. Wakazi hao wanasema familia 25 zimekuwa zikiishi katika hali duni kwa miongo kadhaa, licha ya baadhi yao kuhamishwa hadi sehemu nyingine za shamba la kampuni ya Kakuzi.