Timu ya Kenya yashinda mechi dhidi ya timu ya DRC

  • | Citizen TV
    1,398 views

    Mchezaji Austine Rolls Royce Odhiambo aliifungia Harambee Stars bao la pekee na la ushindi katika mechi ya mchuano wa CHAN dhidi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo uwanjani Kasarani. Mchezaji huyo anayechezea klabu ya Gor Mahia alifunga bao hilo katika dakika za mwisho za kipindi cha kwanza