Usafiri ulitatizika katika baadhi ya barabara jijini Nairobi

  • | Citizen TV
    929 views

    Usafiri nao ulitatizwa katika barabara kadhaa jijiji Nairobi kwa kutwa nzima kwa mechi za michuano ya CHAN yaliyoanza Nairobi. waliokuwa wakisafari kutumia barabara za mombasa, lang'ata na thika walitatizika kwenye mpangilio huu, ulioendelezwa kutoa fursa ya mechi katika uwanja wa Kasarani na Nyayo