Afisa wa polisi atoroka baada ya kuwauwa kwa kuwapiga risasi wanawake wawili Kitui

  • | KBC Video
    11 views

    Taharuki na simanzi zimetanda katika soko la Kanyonyoo, Kaunti ya Kitui, baada ya afisa wa polisi kutoka kituo cha polisi cha Kanyonyoo kuwauwa kwa kuwapiga risasi wanawake wawili katika kile kinachoshukiwa kuwa mzozo wa kimapenzi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive