Kila mkenya mwenye uwezo wakulipa SHA, atalipa at 2.75%. ~ President Ruto

  • | Citizen TV
    1,794 views

    Kila mkenya mwenye uwezo wakulipa SHA, atalipa at 2.75%. Wakati wa NHIF nilikuwa na lipa ksh.1700, sahii kupitia mpango wetu wa SHA, ninalipa ksh.40,000 kila mwezi ~ President Ruto