Watoto wawili wateketea Laikipia

  • | KBC Video
    2 views

    Familia moja katika kijiji cha Chung’uti, eneo bunge la Laikipia Magharibi, inaomboleza baada ya kumpoteza binti wao wa miaka minne na mwanao wa kiume wa miaka miwili kufuatia kisa cha moto ulioteketeza nyumba yao.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive