Kimbunga kirefu chazunguka hewani

  • | BBC Swahili
    410 views
    Tazama kimbunga kirefu kilichokuwa kikizunguka hewani katika mji wa Ulanqab huko China. Kimbunga hicho kilishuka na kugusa ardhi karibu na eneo maalum linalolindwa na UNESCO kwa sababu ya umuhimu wake wa kihistoria na kijiolojia, linaloitwa geopark. Hakuna mtu yeyote aliyejeruhiwa na kimbunga hicho. Je kimbunga hiki mnakiitaje huko kwenu? #bbcswahili #china #haliyahewa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw