Kakamega: Moto wa gesi wateketeza zahanati wakati daktari alipokuwa akipika ugali

  • | NTV Video
    314 views

    Wakazi kutoka kijiji cha Avikunga, eneo bunge la Shinyalu, Kaunti ya Kakamega, wataendelea kupata matibabu chini ya mti kwa muda. Hii ni baada ya zahanati waliokuwa wakienda kutafuta matibabu hayo kuteketea kutokana na moto uliosababishwa na gesi iliyolipuka wakati daktari alipokuwa akipika ugali.

    Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya